Chris Brown akiwa na binti yake Royalty Brown.
MWANAMUZIKI wa nchini Marekani, Christopher Maurice "Chris" Brown 
amejiandalia sherehe maalum kusherehekea Siku ya Baba Duniani ambapo 
mgeni rasmi atakuwa binti yake Royalty Brown mwenye umri wa mwaka mmoja.Chris amewaalika marafiki zake wenye watoto kujumuika naye katika sherehe hiyo inayofanyika leo huko Marekani.
Siku ya Baba Duniani katika nchi nyingi huadhimishwa Jumapili ya tatu ya Mwezi Juni kila mwaka.
Comments
Post a Comment