Diamond aweka historia tena Dar Live Jionee Picha

Christmas ya mwaka 2015 itabakia kuwa na historia kubwa kwenye dunia ya burudani, 88.5 usiku wa Dec 25 wamepokea shangwe za burudani kutoka kwa Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz kwenye  viwanja vya Dar Live, Mbagala Dar es Salaam. Hapa nimekusogezea picha  uone jinsi kilivyohappen Christmas ya mwaka 2015 itabakia kuwa na historia kubwa kwenye dunia ya burudani, 88.5 usiku wa Dec 25 wamepokea shangwe za burudani kutoka kwa Naseeb Abdulaka Diamond Platnumz kwenye  viwanja vya Dar Live, Mbagala Dar es Salaam.

Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leo
Diamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.
Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.
Diamond akiwachombeza mashabiki.
Diamond akiwachombeza mashabiki.
Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume.
Akiongea na mashabiki.
Goma limenoga
Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.
Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki wake waliofurika Dar Live na wao kuridhika aliamua kupozi nao kwa picha hii.
Nyomi ya kutisha ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.
Diamond akizidi kuwapa raha mashabiki wake wa Dar Live.
…Akiongea na mashabiki wake.
Akiwasalimia mashabiki.
(PICHA: MUSA MATEJA, RICHARD BUKOS/GPL)

Comments